|
Post by Admin on Jul 4, 2015 16:31:23 GMT
Ndugu wana familia karibuni sana kwenye forum yetu mpya, nimeanzisha hii kwa kujuwa kuwa whatsapp ina limit ya watu 100 na jinsi Ma sha Allah family yetu ilivyo kubwa si muda mrefu tutakuwa tumepitiliza hiyo namba.
Pia kuna wengine huwa wameweka whatsapp zao ziwajulishe kuwa msg imeingia na kila group linavyokuwa na msg zinazidi na huwa ni kero na wengine huamua kujitowa, hapa sasa tuna fursa ya ku chat na kujuliana hali na tuna fursa ya kuingia na kutoka bola kukerwa na vilio vya msg kwenye simu zetu.
Pia ieleweke kwa kuwa tukianza ku branch koo za akina baba na akina mama waliotoka nje ya family na kuunganisha branches, family itazidi kukuwa na itakuwa ni muhali kuweza wote ku chat kwenye whatsapp.
Nnakukaribisheni kwa moyo mkunjufu na maoni yote nitayapokea na kuyafanyia kazi kwa roho kunjufu kabisa.
Nnashauri wote wanajiunga wajiunge kwa majina yao halisi yanayojulikana ili iwe rahisi kufahamiana.
Ahsanteni
Abdul Ghafur
|
|
|
Post by abdulghafur on Jul 4, 2015 19:50:54 GMT
Good
|
|
|
Post by abdulghafur on Jul 5, 2015 0:51:40 GMT
Fakira na Farida welcome to our newest Family Forum.
Thanks for being the first members of the Family Group to join this forum
|
|
|
Post by thabitbsp1 on Jul 5, 2015 12:37:44 GMT
Hellooo
|
|
|
Post by abdulghafur on Jul 5, 2015 17:38:58 GMT
Hi Thabit, welcome to the family forum
|
|
maroo
New Member
Posts: 1
|
Post by maroo on Jul 9, 2015 16:50:42 GMT
Good job
|
|